Post

Immigration Releases Ex-Gov Odilis Seized Passport

published on
The legal adviser of the Nigerian Immigration Service, Jimoh Abdulkadir Adamu has finally bowed to a court order to release the passport of former Rivers State Governor, Peter Odili. This is coming after NIS incurred a ₦2m fine over its disobedience to release the passport of the former Governor. Odili’s passport which was confiscated on alleged order of the Economic and Financial Crimes Commission (EFCC), was released to him in his Abuja residence. Read More...

Moses Kuria amkejeli Ruto kwa kuzindua mradi wa KSh 5.8 Bilioni wa unyunyizaji maji Busia

published on
Mbunge wa Gatundu Kusini Moses Kuria amemkejeli Naibu Rais William Ruto na kumpongeza kwa kuzindua mradi wa KSh 5.8 bilioni wa unyunyizaji huko kaunti ya Busia. Mwanasiasa huyo ambaye mara kwa mara huwashambulia viongozi wenzake, alipendekeza kwamba ni vyema Ruto azingatie kuboresha na kuendeleza miradi iliyozinduliwa awali na serikali ya Jubilee na kusahaulika badala ya kuharakisha kuzindua miradi mipya. Habari Nyingine: Kitumbua cha Jubilee kimeingia mchanga, lakini Murkomen asema kitalika tu Read More...

Uhuru anaharibiwa jina na kulemazwa kwenye vita dhidi ya ufisadi Mbunge wa ODM

published on
-Mbunge Sam Atandi alisema kuwa wandani wa kisiasa wa Uhuru walimtatiza katika vita dhidi ya ufisadi -Alisema sakata za mabilioni ya pesa za NYS na NCPB ni kionjo tu cha hali ya ufisadi nchini -Mbunge huyo alikiri kuwa Uhuru ana nia nzuri ya kukabiliana na ufisadi, lakini akaongeza kuwa yeye ndiye wa kulaumiwa kwa kufeli kwenye vita hivyo Mbunge wa Alego Usonga Sam Atandi alisema kuwa Rais Uhuru Kenyatta hatafaulu kwenye vita dhidi ya ufisadi kwa sababu ya wandani wake kisiasa. Read More...