- Frankie mourned his grandmother as a woman who played a pivotal role in his upbringing
- The Youtuber shared a video on Instagram, spending time with his grandma and young son while helping feed her
- The fitness trainer said his heart was heavy but comforted by the thought of her watching over him from above
PAY ATTENTION: A couple of years ago, we started doing videos on YouTube, and through your support, we have impacted millions of lives together. Read More...
- Baadhi ya viomngozi wa Mlima Kenya wanasema ni lazima 2022 wawe na mgombea wa urais
- Mkutano uliofanywa usiku katika mkahawa wa Thika Greens kaunti ya Murang'a ulishikilia hilo
- Mkutano huo uliongozwa na Karanja Kibicho na wandani wa DP Ruto hawakualikwa
Katibu katika Wizara ya Usalama wa Ndani Karanja Kibicho Ijumaa Septemba 18 usiku aliongoza mkutano wa siasa katika mkahawa wa Thika Greens.
Duru zinaarifu mkutano huo ulikuwa wa kupanga siasa za eneo hilo tayari kwa kivumbi cha urais mwaka wa 2022. Read More...