Post

Dagoretti: Keyateka mwenye tabia za ufisi aangushiwa makonde

published on
Sinema ya bwerere ilitokea katika ploti moja mtaani Dagoretti, Nairobi baada ya keyateka kuangushiwa kichapo na mpangaji kwa kumvizia mkewe. Semasema za mtaani humo ziliarifu kwamba tabia ya barobaro huyo ilikuwa imewachosha wapangaji wengi. Habari Nyingine: Peter Kenneth ashambuliwa kwa kuongoza ujumbe wa Mt Kenya kumtembelea Raila Kulingana na Taifa Leo, keyateka huyo alikuwa akibisha mlango wa jamaa wakati alikuwa kazini na mama nyumba anamkaribisha kwa mikono mwili. Inasemekana majirani walichoshwa na vituko vya wawili hao na ndiposa wakaamua kumpigia mwenye nyumba simu akiwa kazini kumweleza yaliyokuwa yakitendeka kwake. Read More...

Daniel Boone - Trivia, Family, Bio

published on
American frontier legend who blazed Wilderness Road in old Kentucky and lived off the land as a hunter and trapper. Before Fame He began honing his hunting skills for a future career as a market hunter after learning how to shoot at age twelve. Trivia He became an American legend who symbolized the man of nature who lived in simple harmony with nature. Family Life He was married to Sarah Morgan and Rebecca Bryan. Read More...

Emmy Buckner - Age, Family, Bio

published on
Television actress best known for her role as Liv 2 on Disney Channel's Liv and Maddie.  Before Fame She began dedicating her life to theatre when she was 5 years old. She worked at professional theaters all over the United States, but mostly in Kentucky, Florida, and Indiana. Trivia She was cast as Ariel in the Disney World stage show Voyage of The Little Mermaid while she attended Florida State University.  Family Life She began dating Max Chucker in 2009. Read More...