Comic Nollywood actress, Funke Akindele has expressed worry over children in boarding schools following the of death of 12-year-old Sylvester Oromoni, who dead under controversial circumstances. Naija News earlier reported that the management ofDowen College on Thursday, 27th shared its plans of a new chapter weeks after the police cleared 5 students over the death of Sylvester Oromoni.
The school stated that due to the incident, they are reviewing some of their policies to ensure better oversight functions within the school, adding that authority won’t be hesitant to relieve anyone responsible for any administrative lapses. Read More...
Jamaa mmoja eneo la Kipkeringon kaunti ya Nandi amewaacha vinywa wazi wakazi baada ya kumuua afisa wa NIS na landilodi wake
Inadaiwa kwamba mwanaume huyo alimtembelea mkewe katika soko ya Kipkeringon ambapo anaendesha biashara na kuanza kumshambulia.
Habari Nyingine: Rais Trump ampongeza Mkenya aliyemtetea mtandaoni baada ya kushambuliwa vikali
Wanandoa hao walianza kugombana na kumfanya landilodi na afisa wa NIS kuingilia kati ili kutuliza hali.
Akiwa mwenye hamaki jamaa huyo alianza kuwashambulia watu waliofika eneo la tukio kujaribu kuwatenganisha ili wasiendelee kupigana na mkewe. Read More...