- Raila alisema endapo Wakenya watakumbatia mapendekezo ya ripoti ya BBI itakuwa mwanzo mpya kwa taifa
- Alitoa changamoto kwa wanaopinga mswada huo kutoa nafasi kwa wananchi kutoa kauli yao
- Kinara huyo wa ODM alisema kibaria kilichoko mbele baada ya kukusanya saini ni kigumu zaidi
Kinara wa Chama cha Orange Democratic Movement (ODM) Raila Odinga amewapa changamoto wale wanaopinga Mchakato wa Maridhiano (BBI) kusubiri debeni.
Raila alielezea matumaini Wakenya watakumbatia marekebisho yaliyopendekezwa kwenye ripoti ya BBI ambayo alisema itakuwa mwanzo mpya kwa taifa. Read More...
Relatable lip-sync performer and skit creator best known for her andrea_subotic TikTok account. She has more than 2.7 million followers on the platform. She is also a singer and has posted content of herself hanging out in music studios.
Before Fame She began posting TikToks in early 2020. Her first video is a comedic reaction to guy's outfits that she finds unattractive.
Trivia Outside of TikTok, she is also active on Instagram, where she posts modeling and selfie photos. Read More...